golden girl
Member
- Jun 19, 2013
- 66
- 2
ndugu wana jf nina mpenzi wangu nampenda sana, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwaminifu kwake lakini tangu amegundua kuwa nampenda ananitesa sana, muda mwingi hapokei sim zangu, text sometimes hajibu, anadai yuko bize sana na majukum ya kujenga taifa,sina la kufanya jaman mnishauri ndugu zangu mana nampenda sana
Hili la msingi,mradi ulishamtafuta sana akadai yuko busy fanya mambo yako naye mpe nafasi kama akirudi kheir mtayaongea na ku move on,asiporudi pia kheir maana Likuepukalo una kheri nalo.Pole mumy... embu jaribu kupiga kimya nawewe uone atachukua hatua ipi, ukiona kimya na yeye ujue haupo moyoni mwake.
ndugu wana jf nina mpenzi wangu nampenda sana, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwaminifu kwake lakini tangu amegundua kuwa nampenda ananitesa sana, muda mwingi hapokei sim zangu, text sometimes hajibu, anadai yuko bize sana na majukum ya kujenga taifa,sina la kufanya jaman mnishauri ndugu zangu mana nampenda sana
ndugu wana jf nina mpenzi wangu nampenda sana, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwaminifu kwake lakini tangu amegundua kuwa nampenda ananitesa sana, muda mwingi hapokei sim zangu, text sometimes hajibu, anadai yuko bize sana na majukum ya kujenga taifa,sina la kufanya jaman mnishauri ndugu zangu mana nampenda sana
.......nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwaminifu kwake lakini tangu amegundua kuwa nampenda ananitesa sana...
Hili la msingi,mradi ulishamtafuta sana akadai yuko busy fanya mambo yako naye mpe nafasi kama akirudi kheir mtayaongea na ku move on,asiporudi pia kheir maana Likuepukalo una kheri nalo.