estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Habari zenu,
Kuna kaka mmoja kitaani ananipenda kinyama na nilishamwambia kuwa mimi sikuhitaji afanye maisha yake ila hakomi meseji kama zote yani naweza tukatoka wote nikamgombeza weee hadi huruma yani kawa kinganganizi nam-block anapiga namba nyingine, yani kutoka moyoni simpendi simpendi moyo wangu umegoma kumpenda nitumie njia gani nyingine ya kumuumiza ili asepe mazima.
Huyu kijana nilimkubalia bahati mbaya kwa sababu sasa hivi sina mpenzi, dalili zote vituko vyote ninavyomfanyia sijui haoni au ni nini yani hata kosa liwe langu yeye upotezea yuko tofauti kabisa na wanaume wengine au ananiektia?