Lee Cho in, nilishagundua kuwa hilo swala la ''kupendwa'' halipo kwa kuwa kila mtu yupo na mtu kwa sababu maalum. Iwe hela,mwonekano, kupata watoto,kusaidiana maisha au jambo lingine lolote.
Ngoja siku upoteze sababu inayokufanya kuhisi unampenda/kupendwa na mtu ndipo utajua kuwa hakuna kitu kinachoitwa ''kupendwa'' katika ulimwengu huu.
Waulize watu swali rahisi tu ''kwanini upo na mwanamke/mwanaume uliyenaye?''. Majibu yatakuonyesha kuwa hii ni tasnia ya filamu tu.