wewe umeletewa tano ya kirumi hadi ndani ili uinyanyue chadema alafu unaanza kuuliza visivyoeleweka. we uoni chama kinapasuka alafu utaki kupasua chama shauri yako.
Utasibiri sana kuambiwa "niangusage".mapenzi yana sura & mbinu tofauti kutegemea na wahusika sasa wewe endelea kuulizia jibu utajikuta umebaki na manyoya.