Kwani unaoa kwa ajili ya ndugu zako au kwa ajili yako wewe na mapenzi yako? au kwa wazazi wake inahusu nini aibu?
Ndoa inaandikwa mbinguni kama mmeandikiwa kua pamoja hata muishi miaka 10 basi atakua mkeo japo usiku mmoja..
sasa basi mueke mwenyezi mungu mbele wala kumkatia simu sio kuonyesha kua umekasirika au aliyo kwambia hayana mana
ukiwa kama mwanamme kua na maamuzi mazima mweleze kama huna haja nae achukue ustarabu wake na asikusumbue
mapenzi hayalazimishwi asikuchoshe wala usimchoshe....
kaka unajua wanawake ni kama vipepeo kila ua zuri wanataka kulifuata sasa huyo kapigika huko alipoenda sa anataka kurudi kwako we kula mgegedo then mbwage au nipasie hilo pande
kaka unajua wanawake ni kama vipepeo kila ua zuri wanataka kulifuata sasa huyo kapigika huko alipoenda sa anataka kurudi kwako we kula mgegedo then mbwage au nipasie hilo pande