Ananing'ata! Kwa kweli naumiaga!

umenikumbusha mkuu nimewahi kunga'twa ....lol....halafu maumivu makali unayasikia baada ya game


hahahhahahhaahahahahahahahahahahahahahahhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na wewe ukamng'ata?
 
akitaka game mkaushie kwa muda, akiuliza vp mbona unampotezea? mwambie unauguza maumivu ya chuchu, lazima aache unless kama atakuwa na pengine pa kupoozea
Ni moja kati ya njia za amani za kupunguza kung'atwa. Hakuna kitu kizuri kama mawasiliano katika mahusiano.
na wew wakat ukizinyonya zake mn'gate kdg apate fleva...
Hii inaweza kuleta matokea mazuri ya muda mrefu, hatari zake ni kwanza iwapo Mtego wa Noti atatumia nguvu za ziada katika kung'ata, pili, ikiwa katika kufanya hivyo akampoteza kabisa.

Mwambie ukweli iko cku midadi ikimpanda vizur utakuta gololi moja haipo..mwambieee kuliko kuumia..
Hii nzuri pia. Hakuna kitu kizuri kama mawasiliano katika mahusiano.


vijana acheni zinaa
Na kama mtashindwa kujizuwia, MSING'ATANE

jaribu kumwelewesha kama hupendi au umgeuze msiwe mnaangalia au ukaruhusu akutzame kifua
Bora njia kama hizi kwa kutatua tatizo kwa njia ya mawasiliano.
 
Hivi jamani kwa nini usimwambie kweli?? Alafu nahisi anakuletea mapenzi ya kusimuliwa... Kaambiwa na rafiki zake huko kua uking'ata jamaa ndo anakolea kaileta kwako, unavizidi jikaza anaongeza bidii ya kung'ata....lol
 
Mradi wa champion, wana kauli mbiu yao, wanasema "Vunja Ukimya", ongea naye mkuu, iko siku atakuumiza akizidiwa na raha!
 
asante, ntamwelewesha! babu anaendeleaje?
 
Hivi jamani kwa nini usimwambie kweli?? Alafu nahisi anakuletea mapenzi ya kusimuliwa... Kaambiwa na rafiki zake huko kua uking'ata jamaa ndo anakolea kaileta kwako, unavizidi jikaza anaongeza bidii ya kung'ata....lol
kumbe inawezekana analeta mapenzi ya kwenye tamthiliya?!!! ngoja nimapngie mistari ya kumuweka sawa maana nikikurupuka huwa ni bingwa wa kususa!
 
dah ohh okee...kumbe huwa inakuwa hivi...si na wewe umng'ate zake?
 
Weka plaster kwenye chuchu wakati wa game,akiuliza mwambie nina vidonda vya tokea last game
 
mkuu umenigusa panako.
Mana mi ndo alama kabisa. Wangu huning'ata shingoni, na nna love scars(sio love bite) zakutosha shingoni.
Wadau walinipaga ushauri hapo, umeweki kwa kiasi chake.
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hapo ww ndio unaharibu koz ukinyamaza yy anaona kama unaugulia kwa utamu na sio maumivu na yy anajitahidi kukuonesha maufundi ili usimuache
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yani imenichekesha sana hii na pia kuna uwezekano kabla ya ww alikueko ambaye anapenda hiyo style
pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…