Ananilazimisha nimuoe

Bro endelea kujipanga wenzio tunaendelea na mamalove

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukulu mku kwa ushauri wako,sema me na malengo nae ,ila kilichopelekea mpk tufikie mda wa miaka mitano(5) Mimi nilikuwa bado nasoma chuo,ndo kwanza nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa ili nijipange niwoe, asa mwenzangu naona uvumilivu umemshinda,ndo apa nawaza nifanye kip
 
Mwambie hujajipanga, sijui nini kinashindikana...
Nashukulu mku kwa ushauri wako,sema me na malengo nae ,ila kilichopelekea mpk tufikie mda wa miaka mitano(5) Mimi nilikuwa bado nasoma chuo,ndo kwanza nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa ili nijipange niwoe, asa mwenzangu naona uvumilivu umemshinda,ndo apa nawaza nifanye kip
 
kwanza kitendo cha kuandika kuwa anakulazimisha umuoe inaonyesha wazi huna mpango wa kuoa, wote mtakiwa muone kuna haja ya kuoana badala ya mmoja kuona analazimishwa, muache aende asije akaendelea kusubiri na usimuoe
 
Kama huna nia ya kumuoa muache akaolewe usimpotezee muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…