Ananilazimisha nimuoe

Wana jamvi....suala sio miaka mitano! suala ni hiyo miaka mitano wameitumiaje? Inawezekana wote walikuwa shule ndo kwanza hawana hata mwaka uraian wamemalza chuo.

Kwa hyo jamaa kama unahsi haupo tayar kwa ajili ya ndoa sasa muweke waz mwenzako awe mvumilivu alaf wewe upambane! uvumilivu ukimshnda utaona tu changes hapo ujue mkono wa bye unakuja speed.

Ukioa hujajipanga utalia sana na ukweni utadhalilika sana!!!!!!! nimejionea haya mambo kwa macho....please usioe kama si kwa maamuzi yako mwenyewe.
 
nimekuelewa vilivyo mkuu,maana me nilikuwa bado nasoma ndo nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa
 
Miaka 5 naamini anakufahamu sana kuanzia kipato chako mpaka nyeti zako. Muoe hata kimyakimya ukigoma ujue huna malengo nae naunampotezea muda mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina malengo nae tu ,sema mm nilikiwa bado chuo ndo nimemaliza mwaka jana 2019, kwa sasa ndo najipanga ,ndo hivo mwenzangu uvumilivu una mshinda mkuu.
 
Wadada, muangaliage na wanaume wa kuhusiana nao!
 
Nashukulu mku kwa ushauri wako,sema me na malengo nae ,ila kilichopelekea mpk tufikie mda wa miaka mitano(5) Mimi nilikuwa bado nasoma chuo,ndo kwanza nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa ili nijipange niwoe, asa mwenzangu naona uvumilivu umemshinda,ndo apa nawaza nifanye kip
 
Natamani nami ningekuwa na mpenzi tumedumu kwa miaka mitano ningemuoa haraka sana.Tena ningekuwa Tanzania na kipindi hiki cha corona hakuna mikusanyiko, ningeshavuta jiko aisee. Mwambie hali halisi nadhani ukioa utajua kujipanga zaidi, ni kheri umsikilize mpenzi wako
 
Miaka 5 naamini anakufahamu sana kuanzia kipato chako mpaka nyeti zako. Muoe hata kimyakimya ukigoma ujue huna malengo nae naunampotezea muda mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukulu mku kwa ushauri wako,sema me na malengo nae ,ila kilichopelekea mpk tufikie mda wa miaka mitano(5) Mimi nilikuwa bado nasoma chuo,ndo kwanza nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa ili nijipange niwoe, asa mwenzangu naona uvumilivu umemshinda,ndo apa nawaza nifanye kipi
 
Miaka 5 yote kama ni mtoto kindergarten tayari, watu wana moyo miaka yote hiyo , halafu siku isiyokuwa na jina unamterekeza na kuoa mwingine daa, kujipanga unajenga flyover?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukulu mku kwa ushauri wako,sema me na malengo nae ,ila kilichopelekea mpk tufikie mda wa miaka mitano(5) Mimi nilikuwa bado nasoma chuo,ndo kwanza nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa ili nijipange niwoe, asa mwenzangu naona uvumilivu umemshinda,ndo apa nawaza nifanye kip
mr ,Ulweso.
 
Nashukulu mku kwa ushauri wako,sema me na malengo nae ,ila kilichopelekea mpk tufikie mda wa miaka mitano(5) Mimi nilikuwa bado nasoma chuo,ndo kwanza nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa ili nijipange niwoe, asa mwenzangu naona uvumilivu umemshinda,ndo apa nawaza nifanye kip?
 
Nimewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na madem wawili tu na wote nimeachana nao hali yakua bad tunapendana na sababu ya kufanya hivyo huwa nawaambia tuachane ili ukipata mtu wa kukuowa asishindwe kukuowa et kwa sababu upo na nm nisie na uwezo wa kukuowa

Sent using Gun Trigger
 
Nashukulu mku kwa ushauri wako,sema me na malengo nae ,ila kilichopelekea mpk tufikie mda wa miaka mitano(5) Mimi nilikuwa bado nasoma chuo,ndo kwanza nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa ili nijipange niwoe, asa mwenzangu naona uvumilivu umemshinda,ndo apa nawaza nifanye kip
 
Miaka 5 naamini anakufahamu sana kuanzia kipato chako mpaka nyeti zako. Muoe hata kimyakimya ukigoma ujue huna malengo nae naunampotezea muda mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukulu mku kwa ushauri wako,sema me na malengo nae ,ila kilichopelekea mpk tufikie mda wa miaka mitano(5) Mimi nilikuwa bado nasoma chuo,ndo kwanza nimemaliza mwaka jana 2019, asaiv ndo na struggle kitaa ili nijipange niwoe, asa mwenzangu naona uvumilivu umemshinda,ndo apa nawaza nifanye kip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…