Miaka 5 naamini anakufahamu sana kuanzia kipato chako mpaka nyeti zako. Muoe hata kimyakimya ukigoma ujue huna malengo nae naunampotezea muda mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauliza tuuMiaka mitano yote unatafuna papuchi bure bure tuu? Ukiona hivyo ujue huyo binti kuna mtu anamsumbua anataka kuleta posa sema binti nafsi inamsuta ndio maana anataka muoane aepuke hicho kishawishi. We kama hauko tayari muambie aendelee na maisha yake huna sababu ya kumzibia rizki
Naunga mkono hoja[emoji108][emoji119][emoji119]Miaka mitano yote unatafuna papuchi bure bure tuu? Ukiona hivyo ujue huyo binti kuna mtu anamsumbua anataka kuleta posa sema binti nafsi inamsuta ndio maana anataka muoane aepuke hicho kishawishi. We kama hauko tayari muambie aendelee na maisha yake huna sababu ya kumzibia rizki
watu wenye uzoefu, namin ntanipa ushauri ambao utanisaidia,asanteni
Kwani papuchi ni kifaa ambacho lazima kilipiwe?? Kwani jamaa hajaliwa boo miaka mitano bure bure?Miaka mitano yote unatafuna papuchi bure bure tuu? Ukiona hivyo ujue huyo binti kuna mtu anamsumbua anataka kuleta posa sema binti nafsi inamsuta ndio maana anataka muoane aepuke hicho kishawishi. We kama hauko tayari muambie aendelee na maisha yake huna sababu ya kumzibia rizki