Kuambiwa ana mchumba sio lazima iwe kweli
yawezekana alikuwa anajipandisha chati ili upande bei
too much hate is love
hakuchukii,amekukasirikia kwa kushindwa kumsoma game lake
kwa ufupi wewe umeshindwa kwenda na beat lol
Je unanishauri ni nifanye

wewe kama una-maindi tupia kambaJe unanishauri ni nifanye