Ananichanganya kweli..

Ananichanganya kweli..

Van Mlaki

Member
Joined
Mar 10, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Me ni kijana wa miaka 21 niko na mpenzi wang,pia nakaa na babu na bibi yangu katika hali ya kustaajabisha jana demu wang kaja hom kabla hata sijamuona babu kamtimua...
Mpenz wang amekacrka xana na anasema hatokuja tena hom na hataki tukutane guest wala wapi...naombeni uxhauri wenu..
 
dogo muda wa kusoma huu .... achana na hii mambo kabisa
 
Wamegundua ya kwamba ni gume gume, anakupotezea muda. Tafakari njia zako.
Pia imeandika "Waheshimu baba na mama, upate maisha marefu na heri duniani. Hii ndiyo amri yenye ahadi". Katika tafsiri inahusisha kwaheshimu wakubwa wa wote.
 
ulitaka ampokee mkoba na kumletea juice anywe loh ona aibu bado hujajitegemea unavibeba sijui videmu vyako kuvipeleka nyumbani ukute hela ya mswaki bado unaomba.
 
Last edited by a moderator:
Me ni kijana wa miaka 21 niko na mpenzi wang,pia nakaa na babu na bibi yangu katika hali ya kustaajabisha jana demu wang kaja hom kabla hata sijamuona babu kamtimua...
Mpenz wang amekacrka xana na anasema hatokuja tena hom na hataki tukutane guest wala wapi...naombeni uxhauri wenu..

huku kwa watu wazima bwana, kwan shuleni kwenu mida ya pumziko au siku ya michezo hamkaagi kimakundi makundi, kama ndo hvyo ukiwa kwenye hayo makundi waombe ushauri! Ila mtoto mdogo kupeleka demu hom ni kukosa heshima.
 
Alafu huyu mnategemea apate div.iii kweli???
 
Mambo yaliyo tokea hapo nyumbani ni aibu tupu. Jambo la muhimu muombe radhi babu ---- na mfahamishe niya yako kwa huyo damu
 
Me ni kijana wa miaka 21 niko na mpenzi wang,pia nakaa na babu na bibi yangu katika hali ya kustaajabisha jana demu wang kaja hom kabla hata sijamuona babu kamtimua...
Mpenz wang amekacrka xana na anasema hatokuja tena hom na hataki tukutane guest wala wapi...naombeni uxhauri wenu..
Sasa kijana kumbe hata pakuka huna pango la bibi na babu bado wewe mgeni tena unaleta mgeni mwengine iv ni sawa kweli ukifikiria au ni heshima za wapi hizo? soma kwanza kwa bidii iliupate maisha yako hao wa dada hawaishi kila leo wanazaliwa,utawakuta na utawawacha...
 
Honestly maendeleo bongo bado sana.

At 21 am sure bado unawategemea babu na bibi yako lakini unapata pesa ya kumpeleka demu gesti!

Sijui tulikosea wapi...but this is never right!
 
Me ni kijana wa miaka 21 niko na mpenzi wang,pia nakaa na babu na bibi yangu katika hali ya kustaajabisha jana demu wang kaja hom kabla hata sijamuona babu kamtimua...
Mpenz wang amekacrka xana na anasema hatokuja tena hom na hataki tukutane guest wala wapi...naombeni uxhauri wenu..

Unataka ushauri wa nini sasa wakati babu yako kashakuonyesha action ilivyo,
soma dogo life is tough in action, wewe anza kuangaika na hizi sketi sasa hivi halafu mwisho wa siku utaniambia mwenyewe kama haujataga.
Usipime ukali wa kisu kwa ulimi.
 
huku kwa watu wazima bwana, kwan shuleni kwenu mida ya pumziko au siku ya michezo hamkaagi kimakundi makundi, kama ndo hvyo ukiwa kwenye hayo makundi waombe ushauri! Ila mtoto mdogo kupeleka demu hom ni kukosa heshima.

Hizi ni division one point 35. Uandishi wake tu, kichwa kinauma.
 
Back
Top Bottom