Ananiambia anataka 3some, anamaanisha nini?

nawaka kama cheni za kondeboy msafi, mtu mmoja lakini utasema kikosi cha pina, maringo mengi like ma name is casanova!! ova!!



katika whatsapp yangu, kuna group moja hatari sana, madem wa kumwaga, nikaona nijilipue Katika inbox ya mrembo mmoja hivi chuchu saa VI msee baba!


nikamwagia maneno mingi mrembo akaielewa ngeli ya genge, lakini akaniambia kama nataka tukutane kimwili a.k.a tufanye tendo la ndoa nifanye mpango tufanye 3some.

3some anamaanisha nini? au ndio kizinga aseeeeeee! wakali wa hizi kazi nielewesheni mazee.




futeni na hii.

maaana mimi hufanya vile msiotaka nyie!
waambie wanao wa mtaani kwako mimi sipaki poda!
hizo itikadi zako za kishua peleka goba!



OVER!
yaani mpige game wewe na yeye + another third person ambaye unaweza kuchagua either awe baba ako au mama ako.
 
Back
Top Bottom