Cruel mpole
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 106
Anang'ang'ana nimtoe out huku mi nimebanwa na kazi za watu.Hata mwaka mpya wenyewe sijauenjoy coz nilikuwa nafanya kazi ya serikali.Eti wajameni,hata kama nimapenzi ya dhati,niache kazi then nimtoe out???