Anampenda Mume wa Mtu

kila siku nazidi kuamini ule msemo wa wanawake wa mjini wanaosema mume wa mtu mtamu.Sijui na mke wa mtu inakuwaje?
 
 
 
Haya mambo bwana. Sijui ni men behaving badly au women. Halafu huyu dada ajue kama jamaa ni scrub hawezi kabisa kumdivorce wife. Halafu wanaume wa aina hii ni serial cheaters...what he does to her he will do to anothr woman, and another....

Lakini jamani... how can you claim to be in love with a married man or woman...if he is married its for a reason and not meant for you... Labda kama angekuwa hajamwambia huyu dada ukweli kwamba he is married.
 
Du unafanya kama Tiger Woods sio!. Unapangalia kama wanane hivi.
 
nani kakudanganya kuwa hawezi kumuacha mkewe? kwanza mianamike iliyoolewa ndio yenye mibichwa migumu. believe atamuacha na atamuoa dogodogo na from there maisha yanakuwa tambarare!!!!!!!!!!!!!
Mh
Akili kichwani mpenzi mbona unaniumiza moyo?

Blue hapo-sina la kusema
Red- kwa hiyo na dogodogo naye si ataolewa? maisha yatakuwaje tambarare akati naye atakuwa kichwa ngumu? Si ameolewa?
 

Je hao ni dini gani?
 
Hapana sifanyi kama Tiger Woods. Yeye kaoa na mimi sijaoa na sitaki kuoa. Kwa hiyo hata nikimega mademu 100 simkosei mtu yeyote

shemeji huo si ni uzinzi? hujaoa na unashiriki ngono.......

afu shemeji (am just curious) unanunua au inakuwaje hapo??
 

Kati ya principles nilizojiwekea maishani ni kuavoid married men. Naheshimu ndoa kama institution takatifu kwa hiyo mume wa mtu siwezi kuwa na mahusiano naye. Period.
 
Kati ya principles nilizojiwekea maishani ni kuavoid married men. Naheshimu ndoa kama institution takatifu kwa hiyo mume wa mtu siwezi kuwa na mahusiano naye. Period.

Na wanaume nao wangejiwekea principle kama hiyo yako kuhusu wake za watu basi kusingekuwa na kumegeana kabisa! Yaani tungekuwa kama tunaishi peponi vile!
 
Hii inatokana na ujinga tu na kutoangalia mbele, sidhani kama msichana mwenye akili timamu anaweza kukubali kuolewa na mume wa mtu ili hali huyo mke hajapewa talaka inayotambuliwa na mahakama.
Kwa kiasi kikubwa inatokana na kutokujua sheria ya ndoa, ngoja nijaribu kadadavua kidogo hapa..,wadada mkae mkijua kuwa kukurupukia ndoa na mume wa mtu haina maana hata kidogo atleast kwanza ufanye uchunguzi ujue hiyo ndoa yake ya awali ilikuwa ni monogamous au polygamous au potential polygamous atleast kama ni polygamous ndio unaweza kujiingiza na kuwa mke wa pili lakini kama ni monogamous tena ile ya kikristo ya kanisani dada yangu utakuwa umefulia, hata ufanye harusi ya mbwenbwe kiasi gani hapo ni sawa na hakuna ndoa na wewe utakuwa hawara tu matokeo yake utayaona siku ambayo utalazimika kuthibitisha kuwa nawe ni mke halali.
Kuweni makini wadada.,otherwise assume nafasi ya huyo unaemchukulia mumewe halafu uone ungekuwa wewe ndio unachukuliwa mume kama ungeweza kuvumilia.
Yangu ni hayo tu..
 
Mwache aolewe kama kuna ndoa kweli; ila ajue kwamba the broom she uses to sweep the wife from that house will be the same for her. It is just the mater of time!
 
shemeji huo si ni uzinzi? hujaoa na unashiriki ngono.......

Huo sio uzinzi. Ni kujamiiana. Na binadamu tumeumbwa wanawake na wanaume ili tujamiiane. Na hakuna ubaya wowote kujamiiana na binadamu mwenzio wa jinsia tofauti.

afu shemeji (am just curious) unanunua au inakuwaje hapo??

Hapana, sinunui ingawa nshawahi kununua baadhi pale Jolly, Sinza kwa Meeda, na pale Kinondoni karibu na Mande Guest House.
Mademu wa kumega wapo wengi tu tena na wao wanatafuta kumegwa. Kwa hiyo it works out perfectly.
 
Aache uzembe huyo si aje kwangu mimi sina mke wala demu.
kama vp NIPM nikupe number na email yangu ili tuendeleze libeneke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…