Dish zote kwa sasa ni digital.Digital inawezesha kwa kutumia masafa moja (frequency)kurusha Tv stations mpaka 500 au zaidi.pia na Radio stations.TV yeyote inakuwa inafanya kazi ktk digital,kwani ni kingamuzi ndio kinabadili digital kuwa analog,so utoweza ona Tv kama una Kingamuzi.
mkuu kama huna uwezo wa kumili king'amuzi utaitupa tv yako au ndio analojia inatolewa kabisa..:confused3:
Jaman analog na digital ni nin?
kama una kingamuzi au ujakilipia kingamuzi chako uwezi pata ata Tv station moja.kitakachotokea ni kuwa utoweza kamata let say ITV au TBC kwa antenna pekee kama sasa.Itakuwa ya kwamba inabidi ufunge Kingamuzi kati ya Antenna yako na Tv ndo uweze ona Tvmkuu kama huna uwezo wa kumili king'amuzi utaitupa tv yako au ndio analojia inatolewa kabisa..:confused3:
mkuu kama huna uwezo wa kumili king'amuzi utaitupa tv yako au ndio analojia inatolewa kabisa..:confused3:
navyofahamu mm kama hautakuwa na king'amuzi itabidi 2 uitupe 2 hiyo tv yako manake itakuwa imetengezwa kwa mfumo wa analog
Kama haifai kuwa TV sinaifanya VIDEO Tu?
hizo extra cost ndo tatizo! kwa jinsi navyojua, mpaka muda wa ukufika wa kuondoa analog bei za ving'amuz itakuwa ni juu kwa 2000%
Nafikiri uko Wrong mkuu!
Naomba wadau mtambue elimu hii.
Watu waelewe kitu kmoja kwamba hata tukiamia digital officially lakini tutaendelea kupata free channel kwa kutumia dish hizi zilizopo kwani dish na receivers zote ni digital .sema mtu anaweza kubadilisha kutoka media com (DVB) akanunua za MPG4 nk.
Kwa sababu gani. Wenzetu nje wapo katika digital kitambo tena wapo katika HD lakini wanapatikana katika dish mfano za futi 8 nk. ITV,Channel ten,Star tv,TBC nk ni free channel zitaendelea kuwepo tu kwani vituo hivi vinategemea matangazo ambapo watangazaji hutegemea wingi wa kutazamwa kwa kituo husika hivyo vituo hivi haviwezi kukubali kuingizwa katika vingamuzi na kuondolewa kupatikana katika dish.
Hivi vingamuzi ni mikwala tu msibabaike .
hizo extra cost ndo tatizo! kwa jinsi navyojua, mpaka muda wa ukufika wa kuondoa analog bei za ving'amuz itakuwa ni juu kwa 2000%