Securedada
Member
- Dec 29, 2022
- 25
- 86
Kama roho inakataa achana nae usijejutia mbelen
Sasa kama mtu anayependa starehe sindiye mzuri sasa huyo kama anaweza kufanya starehe huyo ndiyo mzuri umeshamjua, kuna watu wanapata pesa hazijulikani zinaenda wapi starehe hawafanyi na maendeleo hakunaHabari za wakati huu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,
Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.
Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.
Ahsanteni
To yeyeKama roho inakataa achana nae usijejutia mbelen
Mtafutie kazi nyingineHabari za wakati huu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,
Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.
Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.
Ahsanteni
Badilishaneni vitengo vya kazi, tuone kama kazi itakubadili wewe tabia yako njemaHabari za wakati huu wakuu