Stick to the topic...aliyezaa nae na kilichopelekea hivyo kabla ya ndoa is none of our business!ilikuaje ukazaa nae kabla ya ndoa?huoni sasa umekamatika?ukimwacha huyo utazaa tena na mwanaume mwingine au ndio utawachukia wanaume wote?
WanaJF naombeni maoni au ushauri nifanyeje kuhusu hili.
Niko kwenye uhusiano wa miaka 6 sasa na nimezaa na huyu kijana,ninampenda sana na yeye analijua hilo,tatizo ni kwamba kwa muda wote huu he was okay,ila sasa hivi amebadilika anajiona bab kubwa kisa wanawake wanamfwata so hemost of the times compares me na hao wanawake wanaomtaka kimapenzi,imefikia point kama nikifanya kitu hajapenda anadiriki kunambia kuwa "hujui uko kwenye competition"?..sasa hii tabia kwa kweli siipendi.
Nikiamua kumkalia kimya anasema ooh una mtu ndo mana unaniignore,sijui nimfanyeje huyu mwanaume kwa kweli..kuoa hana dalili kila leo kuna jambo,ilikuwa mpaka amalize kusoma sasa hivi mpaka amalize kujenga.nikimuacha anarudi.
nashindwa kumuelewa.je nimuache,nimfanyejee?nikiongea nae anasema napenda kulalamika..dont know what to do..nishaurini tafadhali
Stick to the topic...aliyezaa nae na kilichopelekea hivyo kabla ya ndoa is none of our business!
pole sana ndio matatizo ya kuzaa kable ya ndoa wakati unataka ndoa, Mkabidhi kwa Mungu nae ataonyesha njia katika hilo
Asante mpendwa!Yani wanataka kumkosesha dada wa watu raha!ndo maana nakupenda,pengine ndo anayezungumzwa hapa manake hawezi ona mwenzie is in dilemma!
Tatizo letu wasichana ni kutofanya maamuzi na kuyasimamia...kila siku anakupa sababu za kutokuoa na wewe unamsikiliza.....my dear,muweke chini mwambie you are ready to move on....anaona kama kuwa na mtoto kutakufanya uwe nae no matter what,he he he ......let me swear to you yupo mwanaume atakupenda,kukuheshimu na kukuthamini kama ulivyo na pale ulipopungukiwa atakuweka sawa na si kukulinganisha na kukuambia uko kwa competition.....he does not worth you.....take a big decision.....keep a distance from him,if he does noe learn or discover how much you worth....he does not deserve you....muache aende zake....umemuonyesha ye ni kila kitu and he is taking advantage of that....em imagine...akifa we hutaishi? haya kasema leo kakuacha na mwanao,utamfunga kamba?let him go and move on with your life before its late....he is emotionally abusing you by comparing you with others....ujione we si kitu....muonyeshe we ni kitu...be proud of yourself....all the best,blessings!
The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:Tatizo letu wasichana ni kutofanya maamuzi na kuyasimamia...kila siku anakupa sababu za kutokuoa na wewe unamsikiliza.....my dear,muweke chini mwambie you are ready to move on....anaona kama kuwa na mtoto kutakufanya uwe nae no matter what,he he he ......let me swear to you yupo mwanaume atakupenda,kukuheshimu na kukuthamini kama ulivyo na pale ulipopungukiwa atakuweka sawa na si kukulinganisha na kukuambia uko kwa competition.....he does not worth you.....take a big decision.....keep a distance from him,if he does noe learn or discover how much you worth....he does not deserve you....muache aende zake....umemuonyesha ye ni kila kitu and he is taking advantage of that....em imagine...akifa we hutaishi? haya kasema leo kakuacha na mwanao,utamfunga kamba?let him go and move on with your life before its late....he is emotionally abusing you by comparing you with others....ujione we si kitu....muonyeshe we ni kitu...be proud of yourself....all the best,blessings!
Watu wengine bwana!Mtu anaomba msaada mnaanza kumhukumu!Wangapi wamezaa ndani ya ndoa na watoto wa ziada wameletewa?
we mwanamke mbona waongea kwa ukali sanaa!!!!!!!!
Ulivyo mwlezea ni kama mdogo kako!! sijui ila natakatu kutrace chanzo cha tatizo.kam ni kweli labda ulimkamata wakati akiwa hajajua mashamba mengine yana rutuba kiasi gani.kwa sasa kayajua kwa hyo anataka kulima shamba la chaguo lake.
kama sivyo basi mweleze awe mwazi, kama anajua hana future na wewe basi mjue, kama anayo basi mpange under maelewano na kuyasimamia.vinginevyo time will tell.
we mwanamke mbona waongea kwa ukali sanaa!!!!!!!!
ilikuaje ukazaa nae kabla ya ndoa?huoni sasa umekamatika?ukimwacha huyo utazaa tena na mwanaume mwingine au ndio utawachukia wanaume wote?