Anahitajika mtu mwenye ujuzi wa forumala/recipes zinazotumika kusindika vyakula na viungo mbalimbali kama Garlic Paste, Gindger Paste, Tomato Paste, Mango Pickles, Mayonnaise, Tea Masalla, Pilau Masalla, n.k. Sifa kuu ni ujuzi na si vyeti wala muda wa muombaji kukaa dalasani. Muombaji awe amewahi au anazalisha bidhaa zinazounzwa madukani.
Mwenye ujuzi awasiliane na upegra at gmail.com
Mwenye ujuzi awasiliane na upegra at gmail.com