Anahitajika msichana wa kazi

Anahitajika msichana wa kazi

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Anahitajika msichana wa kuuza duka la vinywaji vya jumla
Sifa

1. Awe na elimu ya kuanzia form 4 na kuendelea
2. Awe na customer care nzuri

Biashsara iko Tabata Bima.

Mshahara
Mshahara na benefit nyingine tutaelewana.

Ni pm kwa maelezo zaidi
 
Mimi ni mvulana nimemaliza kidato cha nne na nimesomea masomo ya book-keeping na Commerce naomba kama naweza kupatiwa nafasi hiyo. Ahsante. 0655191544 na 0757191544
 
Back
Top Bottom