Anahitajika kijana wa kuuza chipsi, mwminifu, mzoefu na anayejua kuwakarimu wateja, napatikana kwa 0652651853[/QU0 0. K
X00OTE]
Fanya tangazo lako liwe jepesi zaidi
Sema unapatikana wapi ili usiwape tabu watu wa mbali na wewe kukutafuta
Samahani lakini
vp akakupigia halaf akakwambia yupo ruvuma halaf wew upo kagera! utatuma naul aje?"kama hapana huon kama ukimwambia ajitegemee naul hapo ni sawa na kuwa na mtaji then akafungua kibanda chake?
kama ndiyo huon kama ni wastege of resources?
kama yote hakna huon kama utasababisha kjana anunue vocha akupigie wakat haitawezekana kufanya kaz yako?
Nipo dar, kazi ni maeneo ya banana