Anahitajika Fundi wa milango na Frame za Milango ya Mbao

Nkuba25

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
2,386
Reaction score
13,136
Habari Wana Bodi

Natarajia kufungua ofisi/ workshop kwa ajili ya kutengeneza Milango na Frame za Milango za Mbao.
Eneo: Goba njia panda nne - Dar es Salaam.

Hii ni ofisi/workshop mpya, kwa hiyo nahitaji/natafuta Fundi ambaye atakuwa anasimamia hizo shughuli. Huyo Fundi anatakiwa awe mzoefu wa kazi hizi.

Fundi ambaye yupo interested, naomba tuwasiliane inbox/PM.

Asante


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mzee unakubali ubia nikiweka mashine hapo ya kuranda na vitu kama hivyo?
 
Ukihitaji mbao au Kama una miti unahitaji kuchana mbao nitafute
 
Habari mkuu, nataka kutengeneza workshop kama hii; naomba muongozo kama ulifanikiwa. Eg. Mashine zipi muhimu nahitaji, mambo ya kuzingatia n.k Product ni milango na frame tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…