Anahitajika Fundi Computer- KAHAMA

dfreym

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
343
Reaction score
88
kwa wale wenyeji wa mji wa kahama, ni fundi yupi ni mzuri katika maswala ya hardware?
laptop yangu haitoi sauti. ila nikiconnect headphone inatoa sauti.
au kwa yeyote Mwenye suluhisho la tatizo
anaweza toa maoni.
Pia betri yake na keyboard naweza pata wapi na kwa shillingi ngapi.

BRAND NAME: COMPAQ 610.
 
Tafuta driver za hiyo machine ktk website yao ufanye installation, nimewahi kukutana na jambo kama hilo nikajua internal speaker zimekufa kumbe tatizo ni drivers.
 
nimejaribu ila ikagoma. kwani ilikata ghafla wakati nasikiliza muziki. ilianza na kukoroma then ndo ikaishilizia.
 

jinsi speaker ilivyokoroma. Hiyo imeungua speaker.......
zifuatazo ni gharama zako
Internal speaker 45,000/=
Battery 85,000/=
Keyboard 75,000/=
Jumla 205000/=
ushauri wangu tafuta laptop nyengine.
kwa ushauri zaidi call 0779420000
 
mtafute jamaa mmoja jiran na stend ya mabas anaitwa nzoya atakusaidia
 
Piga simu 076698830 utapata msaada ni mtaalamu mzuri sana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…