Anahitajika dereva wa daladala

Anahitajika dereva wa daladala

root255

Member
Joined
Sep 1, 2020
Posts
8
Reaction score
10
Anahitajika Dereva wa kuendesha Daladala mwenye class "C" Mwenye miaka kuanzia 50 na kuendelea na awe anaishi kati ya maeneo haya,Buza,Kitunda na Banana.

Location: Dar es Salaam

Phone: 0673102644
 
Anahitajika Dereva wa kuendesha Daladala mwenye class "C" Mwenye miaka kuanzia 50 na kuendelea na awe anaishi kati ya maeneo haya,Buza,Kitunda na Banana.
Location: Dar es salaam
Phone :0673102644
Asanteh kwa furusa watakuja
 
Unadhani hata umri unasaidia basi ndugu yangu? Madereva wa daladala hata awe na miaka 16 au 70 akili yao sawa kabisa

Ninaongea kitu ninachokijua
 
Mcheki huyu jamaa anaitwa Petro Justine Nsemwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom