Habarini wakuu,Anahitajika msichana wa kuuza duka Sinza.Sifa.Mwaminifu, mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja na kwa haraka, awe anakaa maeneo ya karibu na sinza ( kupanda at least gari moja) na Awe msichana Mzuri.PM kwa walio interested.

Yuko rafiki yangu,she is enterested