D drndasika Member Joined Oct 14, 2010 Posts 64 Reaction score 34 Mar 30, 2024 #1 Habari ndugu, Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam. Vitu muhimu; Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k Awe na umri miaka 20-25 Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
Habari ndugu, Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam. Vitu muhimu; Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k Awe na umri miaka 20-25 Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
Ally Abdulrahman Senior Member Joined Mar 28, 2015 Posts 196 Reaction score 319 Mar 30, 2024 #2 Ushauri. Ondoa kigezo Ch eneo sbb unawez kuw na weny sifa kibao lkn sio eneo Hilo ulotaja Ila wameon tangazo. Dar ni Kanda moja
Ushauri. Ondoa kigezo Ch eneo sbb unawez kuw na weny sifa kibao lkn sio eneo Hilo ulotaja Ila wameon tangazo. Dar ni Kanda moja
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,335 Reaction score 5,011 Mar 30, 2024 #3 Ally Abdulrahman said: Ushauri. Ondoa kigezo Ch eneo sbb unawez kuw na weny sifa kibao lkn sio eneo Hilo ulotaja Ila wameon tangazo. Dar ni Kanda moja Click to expand... Anataka wa katibu kwa sababu mshahara ni 150k Nayo ni pale utakapofikia target Hivyo ni vyema ukawa katibu ili uwe unaenda kula nyumbani.
Ally Abdulrahman said: Ushauri. Ondoa kigezo Ch eneo sbb unawez kuw na weny sifa kibao lkn sio eneo Hilo ulotaja Ila wameon tangazo. Dar ni Kanda moja Click to expand... Anataka wa katibu kwa sababu mshahara ni 150k Nayo ni pale utakapofikia target Hivyo ni vyema ukawa katibu ili uwe unaenda kula nyumbani.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,053 Reaction score 110,655 Mar 30, 2024 #4 Ndio wale mnao wapaga vyombo na mabeseni wakatembeze eehhh...π
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,722 Reaction score 193,716 Mar 30, 2024 #5 Ngoja waje... Cc: Mahondaw
John Gregory JF-Expert Member Joined Jul 14, 2019 Posts 1,135 Reaction score 2,151 Mar 30, 2024 #6 Mr simple M said: Anataka wa katibu kwa sababu mshahara ni 150k Nayo ni pale utakapofikia target Hivyo ni vyema ukawa katibu ili uwe unaenda kula nyumbani. Click to expand... Upuuzi mtupu! Target my ass!
Mr simple M said: Anataka wa katibu kwa sababu mshahara ni 150k Nayo ni pale utakapofikia target Hivyo ni vyema ukawa katibu ili uwe unaenda kula nyumbani. Click to expand... Upuuzi mtupu! Target my ass!
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,621 Reaction score 10,839 Mar 31, 2024 #7 Hizi pafyumu au lishe. Kada ya afya mshahara 150,000ππ
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,544 Reaction score 9,683 Mar 31, 2024 #8 Unatafuta muuza duka?