Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Kama mtu ana four ya 29 ya form four kuna fursa gani anaweza kuzifata.. Za kimasomo, pia ata kwa mtu binafsi....
Pamoja sana mkuuveta itamfaa zaidi, kuna mechanics, computer, udereva, ufundi chuma nk.
fursa nyingine ni kuangalia uwezekano wa kurudia mtihani.
Ya tatu ni baadaye
Mkuu njoo pm nitakusaidiajaman kama mtu ana D mbili mnamshauri nn
Njoo pm mkuu nitakusaidiaNataka kusoma pre form five individually (table teaching) naombeni ushauri wakubwa