Huu ni ujinga ulopitiliza hata mimi umenikuta tena jana tu nipo bimdashi mmoja tunapiga stories , analeta swaga za kutaka mtoto mmoja, angalizo sio mchepuko wangu cos sijaoa na hajaolewa na ni x girlfriend wanguHivu Skui waawake kuomba mtoto ni fashion eeh?
Huu ni ujinga ulopitiliza hata mimi umenikuta tena jana tu nipo bimdashi mmoja tunapiga stories , analeta swaga za kutaka mtoto mmoja, angalizo sio mchepuko wangu cos sijaoa na hajaolewa na ni x girlfriend wangu
The most ----ed up thread since January 2014!!!!!!
Nimekumisi wewe! Honestly...hebu ngoja nije kipande ile..panda juu ya mnazi chap chap sana!