Edna kahema
Member
- Nov 16, 2016
- 33
- 30
Asante
Jinsia yake tafadhali.Habari za wakati huu ndugu zangu.
Nipo kumsaidia mtu mzuri na mwenye bidii kutafuta nafasi ya kazi ya Ugavi (Procurement/Supply Chain).
Iptysam Salum ni mtaalamu aliye tayari kujifunza, kufanya kazi kwa uaminifu na kuongeza thamani popote atakapopata nafasi.
Kama una taarifa, nafasi au unajua mahali panahitaji mtu wa ugavi, tafadhali usisite kumtafuta
Jina: Iptysam Salum
Mawasiliano: 0777 074 028
Asanteni sana kwa moyo wenu wa kusaidia. Ujumbe huu unaweza kuwa mwanzo wa fursa mpya kwake.
Ni mwanamkeJinsia yake tafadhali.
Good morningWe are hiring for:
PROCUREMENT OFFICER at Mafinga, Tanzania
i. Must be a lady.
ii. Age between 25 - 30 years old.
iii. Ability to use computer and Computer softwares.
iv. A fast learner, with ability to multitask.
v. A Bachelor Degree holder in any field.
vi. Experience in procurement.
All CV Must be sent to: lushchanzo25@zurkt.com on or before 30/12/2025.
Morning!Good morning
Sorry nilikuwa naulizia Ile nafasi ya kaziMorning!
Duhh siijui kama bado ipo au lahSorry nilikuwa naulizia Ile nafasi ya kazi
Utamu wa nini naww au umekosea njiaUtamu wake vipi unaliwa au anaubania uliwe na nyenyere.
Okay thank youDuhh siijui kama bado ipo au lah
Bado hajapata nipo desperate kumtafutiaDuhh siijui kama bado ipo au lah
Endelea kuvumilia natumai lazima itapatikana tu, nikiona tangazo jingine nitashare!Bado hajapata nipo desperate kumtafutia
Thank you so much be blessed 🙌Endelea kuvumilia natumai lazima itapatikana tu, nikione tangazo jingine nitashare!
Madam habari yako,T VACANCIES
1. Human Resources manager (1 Position)
2. Logistic Manager( 1 position)
Location: Dar es salaam
Salary: Negotiable
Qualifications:
.Honest with high integrity
- Bachelor’s Degree in Human Resources or a related field.
- Bachelor degree in business administration
- Bachelor degree in procurement and Supply, Chain Management or related field.
- At least 3 years of experience in both posts.
- Good communication skills
How to Apply:
Send your CV to gsems.seifigroup@gmail.com
Deadline for this application: 20th January 2026
Contact numbers for more information
0656200241
Ngoja nifungue uzi niwe nashea na wengi nikiona napostMadam habari yako,
Hujapata linalohusu account na finance,
Ukipata share nasi,
Natanguliza shukrani za dhati.