Wanaume wengine mnatakiwa mpelekwe chuo kikuu mkasome, msisahau si kila wanawake wana chukulia sex kama ndo kazi ya kendeleza mapenzi, wengine wanachukulia sex ni starehe ya kuwafurahisha wapenzi wao au wanaume zao.
Huwezi kumlazimisha mwanamke afanye sex wakati hapendi ni ujinga tu, yani wewe ukipewa hata kiuno kimoja tu alicho kifurahia yeye ni bora kuliko kupata viuno vitano asivyo vifurahia.
Mtawashakia sana wanawake zenu wanaenda nje sababu ya ujinga wenu, msidhani wanawake wote wanawaza sex tu kila wakati, kweli mko nyuma sana.
Mimi nikipata mwanamke wanamna hio ntamfahamu tu hapendi mchezo wa sex kwa sababu zake flani wala sio sababu anasex na wanaume wengine.
Mwanamke kusex na wanaume wengi haiwezi kumzuia kusex sana, kumbukeni wengine wana sex masaa 24 na wanaume tofouti na wako fit kabisa.