Anafanana na ......

kafanana na unga.....loooh!!!!!!! sijui nimepata?
 
sakapal unamiliki mashine ya kusaga?

shindwaaaa!!!! mashine na mie wapi na wapi, mie namiliki kinu kinachotwanga mahindi na viungo kama vitunguu saumu nk
ukishatwanga ukipika chakula lazima kiwe kitamu hata bila kuweka chumvi...........

hapo nilipobold najua unajiuliza jinsia yangu ni ipi, kama huijui muulize invisible atakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…