Anafaa kuwa Rais?

wa chama cha kutetea haki za wanaume wanaopigwa na wake zao Mpanda....
 
rais wa wafuga nyuki.

Hahahahahaaa! Mi nilimpenda zaidi alipotuonyesha jinsi ya kuonja asali kwenye maonyesho fulani!
KUHUSU URAIS WA NCHI TUNACHOTAKA NI SERA MPYA, KWAHIYO TUWEKE MIZAHA PEMBENI NA KUWAPA NDUGU ZETU WOTE HAWA MASIKIO YETU!
 
hahahaha wakuu twendeni shule mana nchi ina hal mbaya sana
 
rais wa wa weusi au ??
 
Rais wa chama cha wanaume wenye sura za kutishia watoto Tanzania {WWKT}.
 
Rais wa Wassira? Sura mbovumbovu.
 
Tanzania bwana njaa itatumaliza hivi kweli unaweza chagua mtu kama huyu na midudu aliyofanya?acha njaa we ras muongo kafanye kazi lione!
 
Labda rais wa band

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…