Anaetaka shamba Mkuranga tuwasiliane

Dith

Member
Joined
Sep 30, 2020
Posts
57
Reaction score
18
Nauza shamba. Shamba lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya Kiparang'anda).

Lina heka 4 zinapelea kidogo.

Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k.

Shamba lina kisima ndani yake kisicho na tanki na mota, shamba safi halina vichaka.
Kilometer 3.5 kutoka barabara ya lami.

Kutoka mbagala mpaka kikungo ni shilingi 1400 kwa usafiri wa daladala, kutoka hapo kikungo stand mpaka shambani kwa bodaboda ni shilingi elfu moja, kwa miguu ni kama dakika 20 au nusu saa itategemea na mtembeaji.

Bei ni shilingi 15M fixed. Kwa mawasiliano namba ni 0769917961 au 0712030252View attachment 1624301
 
Kwakua ulishaleta uzi kuhusu hilo Shamba ungeendeleza pale pale tu ukasema bado lipo.
 
Karibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…