BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,922
Zenye maganda kutoka shambani na ziwe nzuri, sio zenye vitu vilivyooza ndani, au waduduUnahitaji zile zenye maganda ya kuvunia, kutoka shambani au maganda haya ya kawaida ndo wayazungumzia?! Yaani yale yanayoonesha rangi ya karanga?!!
No.1Zenye maganda kutoka shambani na ziwe nzuri, sio zenye vitu vilivyooza ndani, au wadudu
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Namba 1 mkuuNo.1
No.2
Kati ya hizi hapa ni ipi?No. 1 au No.2
Duh! Asante sana maana hii ni ya kipekee na faida kwa wakulima. Haya ngoja wajitokeze kuchangamkia fursaNamba 1 mkuu
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Sawa,Duh! Asante sana maana hii ni ya kipekee na faida kwa wakulima. Haya ngoja wajitokeze kuchangamkia fursa