0715174884No cjawacheki coz cjaona tangazo lao, kama una contact au link ya tangazo naomba nisaidie mkuu ilo nicheki nao, asante kwa wzo zuri mkuu.
Nitaomba pia feedback PM kuhusu bei zao na idadi wanayotaka0715174884
Wapigie
Kwa nlivosikia tangazoNitaomba pia feedback PM kuhusu bei zao na idadi wanayotaka
Sio bei mbaya, inalipa kwa kiwango chakeKwa nlivosikia tangazo
Wanataka kuanzia kilo 100 @2700
Karanga ndogo, nyeupe, safi
Mi nataka kilo 1 ya kutafuna, niko Dar vipi inakuaje hapo??Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana, tunapokea order kutoka sehemu mbalimbali, ofisi tunapatikana mbezi lui barabara ya kwenda msigani/kwembe, unaweza kutupata kwa namba za simu ;- 0653809008/0718949497 whatsap,
Dar sehemu gani mkuu?duka letu lipo mbezi luis kama upo maeneo ya mbezi ya kimara hadi ubungo, manzese ntakuletea mkuuMi nataka kilo 1 ya kutafuna, niko Dar vipi inakuaje hapo??
nahitaji kilo moja nipo mwanzaNina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana, tunapokea order kutoka sehemu mbalimbali, ofisi tunapatikana mbezi lui barabara ya kwenda msigani/kwembe, unaweza kutupata kwa namba za simu ;- 0653809008/0718949497 whatsap,
nahitaji kilo moja nipo mwanza
1,500 kwa 1,700 ni very reasonable mkuu, nenda kaulize karanga sokoni usikie bei zakeBei kubwa sana iyo,.
haaaa haaa haaaa mkuu nakujanjoo uchukue bure hapa ofisini kwangu Makoroboi.
Bei kwa kilo au nusu, sijui mnakua na haraka gani mnapotangaza.Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana, tunapokea order kutoka sehemu mbalimbali, ofisi tunapatikana mbezi lui barabara ya kwenda msigani/kwembe, unaweza kutupata kwa namba za simu ;- 0653809008/0718949497 whatsap,
Iyo 1700 ningechukua tani 20,usafili wangu, nakuja popote ata kama uko Mwanza1,500 kwa 1,700 ni very reasonable mkuu, nenda kaulize karanga sokoni usikie bei zake
2500 au 2700?1,500 kwa 1,700 ni very reasonable mkuu, nenda kaulize karanga sokoni usikie bei zake