Mmmh!Sasa mfano Arsenal tukashinda lakini kwa sababu ya Makonda kuzunguka kila sehemu siku hizi inakua ngumu kwa mfuko wa Taifa kujaa na kusaidia upatikanaji wa hesabu za boda boda zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
So kama real ananpenda,furesh??Achana nayo hayo maneno
Upendo ni tiba.
Gotcha!!Mla huliwa
Ova
Upendo ni tiba.
Hizo ni ashk majinunHabar zenu wanajamvini.
Mimi n kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zmeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurud nyumbani.
Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atantafuta mwenyewe,haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).
Siku iliyofuata alpokuwa anarud akaomba turud wote,haikuwa tabu.Siku zmeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi,imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakn yuko mkoa mwingne.
Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.
Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyew bora nmwambie ukwel as nkahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.
Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".
Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenz ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usitegemee jipya kutoka kwake. Usiangalie nani alitangulia au nani yupo naye kwa sasa au nani atafuata baada yako. We enjoy muda ambao upo nae siku yoyote kitanuka.Sawa bos.zmefka ila I ned 2 b sure asee maana hawa wanawake hatar.Dakka 0 wamekugeuka!!
Hii ni kweli mkuu. Yeye anataka kuweka kambiATAKUTANA NA MWINGNE ATAAMBIWA KAMA ULIVYOAMBIWA WEWE
UJUE SI KILA DEMU UNAYEMTONGOZA LAZMA AWE MKEO, WENGNE NI WA KUOMBWA PAPUCH TU.
KAMA HUYO ULITAKIWA UMWOMBE MZGO TU BASI. MAPENZ MWACHIE YEYE NA BOY WAKE
Anasoma chuo??Habar zenu wanajamvini.
Mimi n kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zmeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurud nyumbani.
Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atantafuta mwenyewe,haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).
Siku iliyofuata alpokuwa anarud akaomba turud wote,haikuwa tabu.Siku zmeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi,imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakn yuko mkoa mwingne.
Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.
Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyew bora nmwambie ukwel as nkahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.
Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".
Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenz ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Noo.Anasoma chuo??
Mmejuana kwa wiki mbili2Noo.
YahMmejuana kwa wiki mbili2
Subiri mpaka aachane na boyfriend wake (ila kumbuka ameshatumika)Habari zenu wanajamvini,
Mimi ni kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zimeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurudi nyumbani.
Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atanitafuta mwenyewe, haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).
Siku iliyofuata alipokuwa anarudi akaomba turudi wote, haikuwa tabu.Siku zimeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi, imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakini yuko mkoa mwingine.
Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.
Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyewe bora nmwambie ukweli as nikahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.
Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".
Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenzi ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?
Sent using Jamii Forums mobile app