Habar zenu wanajamvini.
Mimi n kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zmeisha sasa.
Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurud nyumbani.
Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atantafuta mwenyewe,haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).
Siku iliyofuata alpokuwa anarud akaomba turud wote,haikuwa tabu.Siku zmeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi,imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakn yuko mkoa mwingne.
Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.
Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyew bora nmwambie ukwel as nkahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.
Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".
Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenz ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?
Sent using
Jamii Forums mobile app