Anacheat lakini bado ana wivu kwa mkewe, si ubinafsi huu

Afu kila nikiona jina lako napataga picha ya yule mtangazaji wa EATV kwenye mambo ya ujenzi ujenzi sijui kwa nini lakini. Sorry I had to admit anyway!!!

hapana mimi siyo mtangazaji na mimi nikifupi yani ni balaaaaa sema najikubali miminipo tifauti na wengine
 
Nadhani ujui vizuri maana ya ufupi.. unamfikia huyu
cha333.jpg
yule dada ni mrefu ... mimi ni kafupi sana
 
Back
Top Bottom