Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Wanasimba,
Jean-Charles Ahoua ni mmoja wa wachezaji waliotupa sababu nyingi za kushangilia msimu huu, licha ya vyote amekuwa sehemu ya mafanikio yetu.
Kwa kosa moja lilitokea tunaweza kumsema vibaya leo, ila tukumbuke: hata mastaa wa dunia kama Fernando Torres waliwahi kukosa magoli ya wazi — kwenye mechi kubwa kama Chelsea dhidi ya Manchester United. Hii ni soka. Haya ni mambo ya kawaida kwenye mchezo huu.
Lakini jambo kubwa zaidi ni namna tunavyochagua kusimama baada ya kila tukio. Tunajifunza, tunaimarika, na tunaendelea kupambana.
Mchezo wetu dhidi ya Stellenbosch bado uko mbele. Safari haijaisha. Na huu si wakati wa kulaumiana — ni wakati wa kuungana na kua kitu Kimora.
Simba inajengwa juu ya mshikamano. Tunasimama na Jean-Charles. Tunasimama na kila mchezaji anayejitoa kwa jezi hii. Na tunaendelea na vita iliyokua mbele yetu. #HatushiiHapa 📌
Simba ni familia. Simba ni nguvu moja.
#NguvuMoja #SimbaSC #JeanCharles