Mheshimiwa punguza jazba sisi ni binadamu kubadilika kupo.Magufuli hawezi kubadilika, MAGUFULI Ni prentenda Ni mtu mwenye kupenda kulipa visasi. Ni mtu asiesamehe, Magufuli hawezi kubadilika mpaka siku atakapowekwa ndani au kuzungukwa na watanzania kwa mabaya aliyoyafanya. Magufuli ataaribu yote mazuri aliyoyafanya. Sifa, Kiburi Kiburi kujiona kuwa yeye Ni mkubwa kuliko MUNGU. Magufuli anajiona hawezi kufa, anajiona ataishi milele na kuongoza milele. Magufuli Hana akili ya kujua dunia inaenda wapi na tuko wapi, Magufuli anaangalia ya sasa. Hana upeo wa kusoma nyakati kujua dunia inaenda wapi. Magufuli atakuja kupata tabu na mtayasahau yote aliyoyafanya na hawa wanaomwabudu na kumtumikia kwa kuua watu watamkana. Muda unakuja na Wala siyo mbali
Mambo ya kuuma na kupulizia, hawakawii kufunga kagazeti kake, lazima ajilendekeze kidogo, Mandela ni number nyingine kabisaSijasoma bandiko lako ila kwenye kulidodosa nimeona sehemu umemfananisha Pombe na Mandela na hapo ndipo nilipofikia uamuzi wa kukuita mpuuzi
What was good?Good analysis
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForumsMagufuli hawezi kubadilika, MAGUFULI Ni prentenda Ni mtu mwenye kupenda kulipa visasi. Ni mtu asiesamehe, Magufuli hawezi kubadilika mpaka siku atakapowekwa ndani au kuzungukwa na watanzania kwa mabaya aliyoyafanya. Magufuli atakuja kupata tabu na mtayasahau yote aliyoyafanya na hawa wanaomwabudu na kumtumikia kwa kuua watu watamkana. Muda unakuja na Wala siyo mbali
What is good not what was good!!!We have different way of thinking and understanding,take what you think is good for you ,leave my parkWhat was good?
Kwa Magufuli siyo rahisi, atakapotaka kubadilika muda utakuwa imepita. Na atataka kubadilika labda baada ya kuona watanzania wamemkaba na Yuko mbioni kuondolewa. Ni muoga Sana usimwone vile
Nimeipenda sana sana hii kwani ndio uhalisia wa nchi leo hii.Kwa mfano, hatuwezi tukasema tuna- lo taifa huru, la kidemokrasia na linalo- heshimu haki za binadamu wakati kukiwa na Watanzania wenzetu wa aina ya Tundu Lissu, Ben Saanane, Azori Gwanda na kabla yao, Dk. Steven Ulimboka na Daudi Mwangosi, ambao ama waliumizwa, ku- toweka na wengine kufa katika mazingira yanayoshawishi kuwapo bayana kwa jiti- hada za baadhi ya watu au makundi ya kihalifu ndani ya nchi yaliyojipa uhalali wa, kuwaziba wengine midomo kikatili na hata kuamua hatima zao.
Dicteta mwenzie katikiswa kaufyta M7..huyu ni muoga sana wala sio jasiri kma unavyodhani time will tellSikio la kufa linasikia dawa
Ni wazi kwamba mbegu ya uongozi ndani ya JPM ilipandwa na Mkapa kwa muda wa miaka 10 kati ya 1995-2005.
Bado naamini kwamba ili JPM aweze kuifinyanga vyema visheni ya urais wake na hatimaye kufikia kile alichopata kukisema kuwa ni matamanio ya kuja kuwaongoza malaika siku Mungu wake atakapomwita, basi atalazimika kuanza pale alipofundwa na ‘mentor’ wake Benjamin Mkapa.
Itaendelea Jumatano ijayo…
Aisee,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]JPM ni chaguo la Mungu.
Namuombea afya njema na maisha marefu.
Yanayofanyika sasa Tanzania yanashangaza dunia Nchi inasonga kwa speed nzuri mno.