Hi! Jf, swali kwa wanajua tu.leo nmempeleka mchumba wangu hospital amepima amekutwa ana mimba ya mwezi mmoja,, bt ameingia period leo, je mtu anaweza kuingia period while yuko mimba ya mwezi mzima? Majibu kwa daktar 2mechukua wote.
Nawasilisha.
hahahahaHi! Jf, swali kwa wanajua tu.leo nmempeleka mchumba wangu hospital amepima amekutwa ana mimba ya mwezi mmoja,, bt ameingia period leo, je mtu anaweza kuingia period while yuko mimba ya mwezi mzima? Majibu kwa daktar 2mechukua wote.
Nawasilisha.
labda mmechanganya majibu ya mimba na ukimwi.
wew unaejua cndo umempa mimba mchumb badala ya mkeo? ata mungu apendmwathu nimesema kwa wanaojua tu!!!!! Ukiona mtu kashindwa kuelewa swali jua lazima afeli tu, take it into consideration ok!
Wamechanganya nini Sista??