epicurus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 276
- 176
Jamani wanajamvi wenzangu, poleni kwa majukumu ya hapa na pale hasa ya kuelimishana humu jamvini.....
Sasa ni hivi shemeji yenu ambaye ni
mke wangu ana ujauzito wa miezi mitano......Ila shida iliyojitokeza, ana nyonga ndogo, kwa mujibu wa taarifa alizonipa ni kwamba madaktari wamemwambia anatakiwe agegedwe kila siku ili kumtanua nyonga.........
Pia kwa sasa mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu....
Je, kuna ukweli wowote katika hilo? Yaani kumgegeda mwanamke kunaweza mtanua nyonga? Kama kuna ukweli naomba kujuzwa njia mbadala tofauti na ugegedaji ili nyonga itanuke...
Nawasilisha