Ni kweli mkuu,Icon ya QuickTime.
Mkuu mbona kama umei~overdo. Strokes kubwa, inner shadow, outer shadows, dark colors everywhere, kama background ni that dark at least icon si inatakiwa iwe bright?.
In the end inarudi kwenye taste, binafsi napenda flat icons zisizo na any bevel wala gradient maana to me they dont make sense. Na kuna sababu kwa nini dunia nzima designers wanatengeneza flat designs sasa, not only are they simple ila visually zinavutia, they just work in any color, printable in any material with ease na bado ikatambulika, you can even make metal accessories with the icon embedded, zikiwa overly complex its even harder to redraw logo ikipotea, au imagine unampa painter achore ukutani anaanza kua na mawazo kudeal na gradients.
Za masiku wakuu,
ni siku nyingi sana sijapita jukwaa hili kuanzisha mada zinazohusiana na masuala ya animation/graphics design.
Leo nimechepuka kidogo kuwasabahi wakuu wangu.
wakati mnapokea salamu yangu,naomba msafishe macho kwa kuitazama(kwa jicho la kiubunifu),zawadi ndogo niliyowaletea.
kwa wale wa watumiaji wa product za apple bila shaka hiyo icon si ngeni kwao(japo haifanani na ile ya apple).
kama kuna mwenye swali kuhusiana na techniques nilizotumia kui- create,awe huru kuniuliza.nitajitahidi kujibu.
Karibuni.
CC kwa wadau wote wa jukwaa hili,wapya na wakongwe kama akina Lukansola cheif-Mkwawa ISO M.CodD MK254 na wengineo
Asante kwa jicho lako mkuu,vipi kuhusu mwanga? inaonekana kama unapiga toka ndani, juu na chini ingependeza kungekuwa na mwelekeo mmoja. logo nzuri big up
Good design, nadhani ulipenda ionekane metallic zaidi na ndio maana umetumia rangi hiyo. Otherwise lighten hiyo bg color au weka bg nyeupe au iwe na transparent bg na itasaidia kuwa na muonekano poa kwenye webpage au unapoipachika pengine