asante ila malipo ni hapa hapasitomfukuza housegirl...........
Kwa maana kama anafanya kazi vyema na naridhika kwa nini nimfukuze? Kupata wadada waaminifu na wachapakazi ni ngumu.
Nitakachofanya ni kumuonya kama mdogo/mtoto wangu....
Na nitamkanya huyo bazazi....
Na kufuatilia nyendo za binti
Ndio nabalasa tena namtoa race na relay au olimpic kabisa!!! Beki tatu akishajua utamu wa Dudu bana kheri umtimue tu, maana mtakuwa mnagombea kukaa kwenye kioo siku nzima. Sasa akisha fanya hivo afu akajua umejua na umemuacha atabeba mimba kabisaa afu ndo utajua cha kuwaeleza kijijini kwao, kama ulipewa umuuze au akufanyie usafi
housegirl wa elfu 30 unaona ni issue? nikisema nina m 200 benk si utakufa?
hivi apa dar kote si uswazi tu ? unaweza kuacha nyumba usiku kucha yenyewe ? ndo maana nikawa na msaidiziHakafu unakaa uswazi? Be serious we ni eng bana
nimefurahi kweli mama anajiona babu kubwaHausi geli hana kosa,kwani yeye si alitongozwa!! .......angekua hausi geli ndio aliyemtongoza huyo jamaa ndio angekua anakosa. mwambie ambebee mimba kabisa.
mimi sijamruhusu wamependana wenyewetatizo la kuishi uswazi lazima uadapt vitabia vya uswazi...kwanini usimpotezee tu...kwanini umruhusu house gal wako atembee na mme wa mtu..? What goes around come around mkuu...
kwa kweli sijui ahame yeye kama vipikwani anachokifanya hauz geli wako kwa mwanamke mwenzio mwenye mume wake ingekuwa unafanyiwa wewe ungefurahiii???...
kama jibu ni ndio basi usimfukuze hausi geli wako na
kama jibu ni hapana basi sasa hivi mpigie cmu mwambie apakie kila kilichokuwa chake kesho asubuhi anasafari kwao kijijini kuna tatizo anatakiwa haraka na
kama jibu ni sijuwi basi hama hiyo nyumba unayoishi amia mbali kabisa ili usihusishwe kwa shughuli yoyote na hiyo nyumba anayotendewa uovu mwanamke mwenzio.
kwa kweli sijui ahame yeye kama vipi
nimefurahi kweli mama anajiona babu kubwa
Am trying to thing loud now..
Umesema alikutongoza wewe ukamkataa....kisha akamtongoza hausi geli wako akamkubalia wakaanza kula tunda.
1- engineer wangu ina maana wewe na hausi geli wako mnafanana kwa viwango vya urembo na kumtamanisha mme wa mtu?
2- you sounds too cheap mpaka jamaa kakuweka level moja na house geli wako... Haiwezekani wewe uwe demu mkali kisha house geli wako awe super substitute wako kwa mwanaume smart na aliyekutaman wewe.
Hata mie nikikosa bia nitakunywa konyagi kiroba sio fanta orange....sawa na wewe kakukosa wewe landcruiser v8 ndio akusubstute na bodaboda kweli?..au wewe ni bajaj kaamua kukaa karibu na usafiri wenye hadhi karibu na yako wa bodaboda?
3- au mwanaume mwenyewe naye chizi tuu..lakini pia wewe engineer inakuwaje hata machizi wanakutongoza??..huoni wala kuhisi kuna kitu hakiko sawa kwako??
anyway..ni maoni yangu na mtazamo chanya ila nje ya box la fikra za jumuiya.
huo ni mtazamo wako haunisaidiii hata ningekuwa cheap ningempaAm trying to thing loud now..
Umesema alikutongoza wewe ukamkataa....kisha akamtongoza hausi geli wako akamkubalia wakaanza kula tunda.
1- engineer wangu ina maana wewe na hausi geli wako mnafanana kwa viwango vya urembo na kumtamanisha mme wa mtu?
2- you sounds too cheap mpaka jamaa kakuweka level moja na house geli wako... Haiwezekani wewe uwe demu mkali kisha house geli wako awe super substitute wako kwa mwanaume smart na aliyekutaman wewe.
Hata mie nikikosa bia nitakunywa konyagi kiroba sio fanta orange....sawa na wewe kakukosa wewe landcruiser v8 ndio akusubstute na bodaboda kweli?..au wewe ni bajaj kaamua kukaa karibu na usafiri wenye hadhi karibu na yako wa bodaboda?
3- au mwanaume mwenyewe naye chizi tuu..lakini pia wewe engineer inakuwaje hata machizi wanakutongoza??..huoni wala kuhisi kuna kitu hakiko sawa kwako??
anyway..ni maoni yangu na mtazamo chanya ila nje ya box la fikra za jumuiya.
unaonekana unapenda sana shali na vijitabia vya uswazi...am sorry for this...
housegirl wa elfu 30 unaona ni issue? nikisema nina m 200 benk si utakufa?
Mwanamke hujaolewa housegirl wa nini?
Sioni sababu yoyote ile ya kuwa na housegirl iwe uko kwenye ndoa au la.