sijaelewa tatizo bado kuwa baa? Kuvaa nguo za kubana na kuacha sehemu ya mwili wazi,? Kukata mauno? Au kuwa baa bila huyo jamaa
sijaelewa tatizo bado kuwa baa? Kuvaa nguo za kubana na kuacha sehemu ya mwili wazi,? Kukata mauno? Au kuwa baa bila huyo jamaa
Dada, heshima yako kwanza.! Nilikumiss sana kwani siku nyingi sijakutana na ushauri wako humu. Tatizo hapo dada ameonesha ni mnafiki! Alikuwa anajifanya mwema baada ya kuolewa ameônesha true colour ya jinsi alivyo! Hata ningekuwa mimi ningemuacha na kufanya mpango mwingine. Ni bora nimjue mtu mapema nijipange namna ya kukabiliana naye kuliko kumjua nikiwa nimeshakamilisha mipango yangu. Huyo dada atakuwa ni pasua kichwa mzuri tu! Kwa nini ufichame? Piga chini haraka sana. Kuna wanawake wengi tu, achana na wasichana!
hata kuolewa hajaolewa bado...............
hao ndo kina PASUA KICHWA bora mkaka kamuona mapema......
Ameshaolewa huyo. M2 si imeshatolewa? Kijijini angekuwa keshahamia kwa jamaa. Nyie watoto wa mujini ndo mnapenda mpaka mjimzima ujue kuwa umevalishwa pete.! Mtu unaishi segerea, ukumbi upo segerea, unafungia harusi Azania Front, unapita beach, epza ndo urudi segerea. Why?? Ona sasa huyu kashamkosa jamaa. Sijui alikuwa anakunywa mara ya mwisho mwisho!!