Amsho la mpenzi

Basi sawa,
ila kwenye kubusiana na kunyonyana ndimi alfajiri huwa kuna kaukakasi kidogo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu na hiyo khali/ukakasi unaletwa na mtu kulala maana tayari kinywani/mdomoni kunakuwa na khali tofauti aiseee!!

Kuamushana na kuanza kunyonyana ndimi while hujapiga mswaki siyo kabisa.

"Enough of No Love"
 
Haya nayasomaga kwa hadithi za gazet na kuyaona kwenye tamthilia tu!
Sijawah kufikilia kuyapata na wala sitarajii kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke gani atakufanyia ivyo kwenye hii sayari??

Ikikutokea ivyo fahamu ni account yako inawindwa braza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…