Amri kiemba mrithi sahihi wa marehemu Patrick Mafisango

joseph michael

New Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Kutokana na kiwango alichoonyesha katika mechi chache za ligi kuu Tanzania Bara, nathubutu kusema kuwa kiungo mahiri wa Simba Amri Kiemba ameonyesha umahiri katika kuliziba pengo aliloliacha marehemu Patrick Mafisango katika nafasi ya kiungo
 
Ni mtazamo wa mtu,no need kujibu utumbo. Kwanza nahisi nyinyi wana-Yanga tupu.
 
Join Date : 4th October 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 1

Junior member karibu JF ili wiki ya kwanza ni kujifunza kuhusu JF ni ushauri tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…