AMRI 10 za KUIKOMBOA Tanzania

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024


1. Usikaribishe Mafisadi kama CHADEMA
2. Usiwe mwizi kama LOWASA
3. Usiwe mwongo kama MNYIKA.
4. Usiwe kigeugeu kama MBOWE.
5. Usikose msimamo kama MAHANGA.

6. Msiwe na Uchu wa madaraka kama UKAWA.
7. Usiwe na kiburi kama MBATIA
8. Usipende kuropoka kama TUNDU LISSU
9. (Amri kuu) USIIPIGIE KURA UKAWA 2015 na chaguo la watanzania ni MAGUFURI TU
10. LOWASSA NA MBOWE ni vigeugeu na hawana sera ya kuikomboa Tanzania.

Huu ujumbe ukiupata wasambazie watu wasiopungua ishirini.


 
Hapa kazi tu!
 
Kazi ipi atakayoifanya ambayo itakuwa mpya kwetu?? Yeye atafuata ilani ile ile tu ya chukua chako mapema
 
Lowassaaaaa,,,,,,,,,Mr chin povu lisikutoke kuna maisha baada ya October 25
 
jisambazie mwenyewe na TWAWEZACCM,usubiri muziki wa october 25.
 

Attachments

  • 1443933344630.jpg
    55.9 KB · Views: 86
  • 1443933380445.jpg
    68.5 KB · Views: 81
  • 1443933409085.jpg
    27.8 KB · Views: 86
  • 1443933496145.jpg
    88.4 KB · Views: 77

Unaweweseka Maku wewe...
 
Hivi mbona ccm na watoto wao wamejaa viburi, dharau na matusi hivi. embu soma comment za watoto wa ccm kwenye hi thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…