Ukijiita mtoto wa mjini tuoneshe uliyoyafanya mjini sio umeajiriwa unaamrishwa na bosiwako ufanye nini alafu unajiita mtoto wa mjini!!!
*mfano tuoneshe unamiliki viwanda,biashara kubwakubwa,Koneksheni za kimataifa kibiashara nk.
*Unajiitaje mtt wa mjini na unategemea mshahara na uteuzi, ukiwekwa kando unalialia njaa??
Tutashirikiana na viongozi smart wakweli na wapenda maendeleo Kwa wote