Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Kama ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania huwezi kushangaa ndugu Amon Mpanju kuteuliwa naibu katibu mkuu.
Huyu ni kijana alijitoa ufahamu kwenye swala la katiba mpya na kuzunguka na Rais wakati wa kampeni.Leo kalipwa fadhila yake kwa cheo.
Next ni PolePole huyu naye muda si mrefu lazima alipwe fadhila kwa kusimama kidete kumchafua Lowassa na hata kufikia sehemu akajiota ufahamu na kusahau uchaguzi wa Znz ulifutwa kimakosa na kibabe.
Stay tuned zawadi ya Polepole ipo njiani.