AMI hospital masaki

AMI hospital masaki

ADO.net

Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
24
Reaction score
2
kwakweli kama una cash au bima yako ya office kwa chakula cha AMi hospital masaki inabidi ujiandae, gharama ni kubwa na chakula chao ni kibovu kwa wagonjwa hakipikwi vizuri kwa kweli...👋
 
Hao si walijitangaza mufilisi kwa ajili ya kodi ya jengo?
Kumbe badi wapo?
 
Wapo waende wapi chakula hakifai kabisa 120usd kwa siku 😢😢 hiyo mama anayetarajia...
 
Siku nikiwa mtalii lazima nikachunguliepo
 
Ndio maana wamefilisika kwa mambo ya aina hiyo.
 
Back
Top Bottom